UTUNZAJI WA MAZINGIRA SINGIDA…!!!

Bodi chakavu la gari lililoegeshwa katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi cha zamani mjini Singida, limebadilishwa matumizi yake na sasa linatumika kama ubao wa matangazo.Hata hivyo faini inayotozwa na mmiliki wa eneo hilo ya shilingi 50,000/= ni kubwa mno ukilinganisha na ya manispaa ya Singida ambayo ni shilingi 4,000/= anazotozwa papo kwa papo mtu anapokamatwa akiharibu mazingira kwa kukojoa ovyo.(Picha na Nathaniel Limu).

 
 
 

About the author

More posts by

 

1 Comment

 

 

Add a comment

required

required

optional