TITO NA IRENE WAMEREMETA, FARAJA KOTTA NDANI.

Maharusi wakifuatilia nyimbo katika kitabu cha tenzi  wakati wa ibada ya harusi iliyofanyika kwenye kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam.

Ibada ikiendelea katika Kanisa la Azania Front.

Bwana Harusi Tito akipokea pete zilizopewa baraka na mchungaji.

Bi Harusi na mpambe wake Mrs. Faraja Nyalandu.

Maharusi wakipokea cheti cha ndoa kutoka kwa mchungaji.

Maharusi wakitoka nje ya kanisa baada ya ibada.

Maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa nje ya kanisa.

Wazazi wa pande zote mbili katika picha ya pamoja na maharusi.

Matron Mrs. Faraja Nyalandu akiwa na Maids.

Maids waking’ara.

Maharusi wakiwasili katika Hoteli  ya Movenpick kwa ajili ya kupiga  picha za ukumbusho.

Mr. & Mrs Tito Kileo wakipiga picha za kumbukumbu.

Adorable Couple’s

Maharusi katika picha ya pamoja na wazazi wao.

Bi.Harusi Irene katika picha ya pamoja na wakwe zake.

Bwana Harusi akiwa na wakwe zake.

Bwana Harusi akiwa na Wazazi wake.

Bi. Harusi akiwa na wazazi wake.

Maharusi, Wazazi pamoja na Baba Wakubwa na Wadogo.

Maharusi wakiwa na Mama wadogo wa Bwana Harusi.

Maharusi, wakiwa na dada wa Bwana Harusi pamoja Baba Mdogo.

Kazi nzuri ya mpambaji katika Ukumbi wa Kiramuu.

Sehemu Maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya maharusi.

Kulia ni Kundaeli Kileo Kaka wa Bwana Harusi.

Maids wakijiandaa kuingia ukumbini.

Maids wakiingia kwa style ya aina yake.

Maharusi wakiingia ukumbini kwa kukaribishwa rasmi kimila KIRUU…. na MBEGE.

Kushoto ni Dada wa Bwana Harusi akiwa na marafiki zake.

Kaka wa Bwana Harusi na wageni waalikwa.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

3 Comments

 • Bianca

  I love the pictures, are very beautiful, The bride, maids look stunning.

   
 • The pics are really nice, though I wasn’t there but its just like I was there on the church. Good enough I attended the reception party, it was excellent more than words can say. GOD BLESS THE COUPLE!

   
 • just stunning my dears the pics are very very nice, my baby irene u luk jus fab wit Tito. i jus wish u tha happiest new life, everyday should be like the first day u met, young, beautiful n most of all in love. Thanx Mo for this

   
 

 

Add a comment

required

required

optional