Pichani Juu na Chini ni Warembo waliokuwa wakikaribisha wageni katika Halfa ya Hisani ya kuchangia watu wenye matatizo ya macho iliyofanyika week end iliyopita katika hoteli ya Movenpick jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa Mavazi nchini Mama Asia Khamsin Idarous akiwasili katika ukumbi wa hotel ya Movenpick
Kutoka Kushoto ni Mbunifu wa Mavazi nchini Mama Asia Khamsin Idarous, Mratibu wa Hafla hiyo MartinKadinda pamoja na Model Gvia Arestus waking’ara kwenye red carpet.
Wabunifu Mavazi Nchini Mama Asia Khamsin Idarous katika picha ya pamoja na Ally Rehmtullah.
Mwanablog 8020 Fashions Shamim Mwasha katika pozi.
Make Up Artist Rehema Samo naye aliwakilisha.
Msanii wa muziki nchini Banana Zoro katika pozi.
Mwanadada Dina Marios naye alikuwepo kuwakilisha.


















