RAIS KIKWETE AZINDUA KAMATI YA OKOA MAISHA SOMALIA.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(Wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Taifa ya Misaada Ya Kibanadamu Somalia muda mfupi baada ya kuizindua rasmi ikulu [...]
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(Wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Taifa ya Misaada Ya Kibanadamu Somalia muda mfupi baada ya kuizindua rasmi ikulu [...]
General Manager of Marketing SONY ERICSSON Unit Africa Jorgen Berg making a presentation on a launching day of the Latest Version of the Android platform [...]
Afisa Masoko wa SONY ERICSSON Stella Akama akibadilishana mawazo na baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria Simu za mkononi za kampuni hiyo. Afisa Masoko wa SONY [...]
Mzee Ikaku Jingu mkazi wa kijiji cha Nkhoiree wilayani Singida,akiwa wodini katika hospitali ya mkoa mjini Singida, akionyesha mikono yake ilivyojeruhiwa vibaya na mnyama nyegere.(Picha [...]
Kwa mara nyingine tena Frank toka Urban pulse na msaniii makini Fyah Sister wakiwa ndani katika studio za Televisheni zinazotengeneza kipindi mashuhuri cha Sporah Show. [...]
Pichani ni Bunge la nchini Zimbabwe ambalo linadaiwa Wabunge wanaume wamekataa wito wa kutaka kutahiriwa ili kuonyesha mfano dhidi ya mapambano ya Ukimwi. Wabunge wanaume [...]
Zifuatazo picha ni picha tofauti za muonekano wa Jumba hilo la Kifahari.
Pichani ni Kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi ambaye hajulikani alipo anayedaiwa kutoa Ujumbe mkali dhidi ya waasi. Na.MO BLOG TEAM Kiongozi aliyetimuliwa nchini Libya, [...]
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida,Celina Kaluba,akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya msako wa kuwasaka watekaji magari makubwa .Picha na [...]
Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika Jean Ping, ambaye amesisitiza kutokulitambua Baraza la waasi nchini Libya. Na.MO BLOG TEAM Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja [...]
Pichani Juu na Chini ni Jengo la mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu). Na.Nathaniel Limu Washitakiwa watano wanachama wa CHADEMA wilayani Singida, [...]
http://it4dev.blogspot.com Blog itakayoleta mapinduzi ya kitekinolojia na changamoto kubwa ya maendeleo ya taifa. Karibu ushiriki. Tunahitaji wataalamu na wajuzi wa nyanja mbalimbali kutoa au kuchangia [...]
Hon. Mohammed Dewji. OPEN YOUR OWN DOOR TO SUCCESS. Success on any major scale requires that you accept responsibility. The one quality that all successful [...]
Recent Comments