RAIS AIZAWADIA NSSF KWA MCHANGO WAKE KATIKA SEKTA YA UJENZI.
Rais Dr. Jakaya Kikwete ( wa pili kushoto) akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dr. Ramadhani Dau (wa pili [...]
Rais Dr. Jakaya Kikwete ( wa pili kushoto) akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dr. Ramadhani Dau (wa pili [...]
Wajumbe wa Kamati Teule iliyoundwa na Bunge kuchunguza sakata la aliyekuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Ndg. David Jairo ikiwa kwenye kikao [...]
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imemtangaza Rene Meza Pichani kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini. Rene ambae kwa sasa ni [...]
Raisi wa Shirikisho la Mpira wa kikapu Tanzania (TBF) Bw. Phares Magesa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa Nyota wa mpira [...]
Familia ya Bw. na Bibi Edwin Dosantos wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaomba msaada wa maziwa au fedha kwa ajili ya kuwasaidia kuwatunza [...]
Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed akihutubia mkutano wa pamoja wa viongozi wa kisiasa nchini Somalia wanaotafuta Suluhu ya mgogoro wa kuunda Serikali nchini humo. [...]
Mgeni rasmi Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akisalimia umati wa wadau katika onyeshi la vipaji kwa washiriki wa [...]
Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi, John Lwanji akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Doroto. Katibu wa uchumi na mipango, Ahmed Athumani [...]
Mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Urughu wilayani Iramba Mkoani Singida ambaye alijiuzulu nafasi hiyo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo [...]
Above and Below Proud parents: David Beckham was seen cradling little Harper over the weekend while Victoria kept her newborn daughter close to her chest [...]
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya hali ya mapambano dhidi ya rushwa mkoa wa [...]
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, Celina Kaluba, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya jeshi hilo kuzawadiwa mbwa.(Picha na Nathaniel Limu). [...]
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (aliyevaa pama) akizungukwa na wafanyabiashara katika soko la Igunga baada ya kupita karibu na soko hilo, akiwa [...]
Recent Comments