-
-
WASHINDI PROMOSHENI YA MCHONGO YA BINGWA, DIMBA, MTANZANIA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.
Meneja Masoko na Usambazaji wa kampuni ya New Habari (2006) Limited, Grace Kassella (kushoto), akimkabidhi Thimoth Mwita mkazi wa Majengo, Musoma zawadi ya deki ya [...]
-
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA IGUNGA.
Anaitwa Joseph Kashinye, Mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Igunga. Pichani Kashindye akihutubia maelfu ya wakazi wa Igunga katika uzinduzi wa kampeni Septemba [...]
-
MECHI YA SIMBA NA YANGA KUCHEZWA UWANJA WA TAIFA.
Pichani ndivyo unavyoonekana uwanja wa kisasa wa Taifa ambao serikali umeufungia kuchezwa mechi za Ligi Kuu inayoendelea nchini isipokuwa kwa mchezo wa Simba na Yanga. [...]
-
UFUNGAJI WA MAFUNZO NA KLINIKI YA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU DON BOSCO.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Vijana na Michezo Dr. Fenella Mukangara akizungumza wakati wa ufungaji mafunzo na Kliniki ya wachezaji wa mpira wa kikapu [...]
-
AJALI MBAYA YAUA WATANO SINGIDA YAJERUHI WATATU AKIWEMO MTOTO MDOGO WA MIAKA MIWILI.
Sehemu ya jicho alikoumia mtoto Yohanes Josephat kutokanana ajali mbaya iliyoua watu watano wakiwemo wazazi wake wote wawili pamoja na mfanyakazi wa ndani Jane. TUNAOMBA [...]
-
WANAUME WAVAMIA MJI WA READING.
Mwenyekiti wa CCM Maina Owino akila Pozi na mdau Joel Chacha. Mwenyekiti wa CCM UK Owino (mwenye koti la suti ya pundamilia). Wakati wa kukandamiza [...]
-
HATA WATOTO NAWASIKILIZA.
Pichani Juu na Chini ni Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiteta jambo na mtoto Tausi Hassan Mazala wakati alipokuwa akitoka kufungua mkutano wa masuala [...]
-
UTEUZI WA RAIS MUTHARIKA WAKOSOLEWA.
Rais wa Malawi Bingu wa Mutahrika ambaye anashutumiwa na upinzani kwa kuwateua mkewe na kaka yake kuingia katika baraza la mawaziri. Upinzani nchini Malawi umemkosoa [...]
-
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO AAGANA NA MABALOZI WA VATICAN NA JAPAN.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Askofu Mkuu Joseph Chennoth, wakati [...]
-
THE BIG APPLE OF HER EYE: VICTORIA BECKHAM HOLDS BABY DAUGHTER HARPER CLOSE AS SHE INTRODUCES HER TO NEW YORK.
Cuddle up: Victoria Beckham holds baby daughter Harper close to her as they leave the Plaza hotel in New York. I’m sleepy, Mummy: Harper gazes [...]
-
MKAPA ATUA IGUNGA.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Mvomenro nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora [...]
-
HII NDIO HALI HALISI YA SHULE ZETU, TUTAFIKA KWELI.???
Mwanafunzi akiingia Darasani katika moja ya Shule zetu. Wanafunzi wakiwa Darasani wakimsikiliza Mwalimu. Mwalimu akitoa Elimu kwa Wanafunzi wake. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nchini [...]
-
JAMANI WAKANDARASI MPENI USHIRIKIANO KIONGOZI HUYU SHUPAVU.
Mh. John P. Magufuli Waziri wa Ujenzi. Mh. J. Magufuli akifunga kongamano la kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, kwa kuwaomba wakandarasi wafanye kazi kulingana na [...]








Recent Comments