Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Tanzania Tully Esther Mwambapa akimkabidhi cheki ya shilingi Milioni kumi. Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya waathirika wa janga la ajali ya meli ilioyotokea Nungwi.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB TanzaniaTully Esther Mwambapa akitowa salamu za rambirambi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.









