WIZARA YA TAMISEMI NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ZINAYAJUA HAYA.??

Wanafunzi wa Shule ya Msingi huko Ludewa Mkoa mpya wa Njombe wanasoma kwenye Kanisa, Wizara husika zinayajua haya kweli ya watoto wetu ambao ni Taifa la Leo na kesho!

KAPINGAZ BLOG INASEMA “TAFADHALI CHUKUENI HATUA LA SIVYO ELIMU YA WATOTO WETU ITAENDELEA KUDIDIMIA”

 

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

6 Comments

 • Amani laurent

  Jamani vijana wanashindwa wafanye nini kwani mnapotoa ahadi ifikapo december watakuwa wameajiriwa hivyo kushindwa kujishughulisha na chochote toe tamka kwa walimu waliohitumu may 2011

   
 • Paskali John

  Kumbukeni kujibu barua za uhamisho kwa wakati kwani unashindwa hata kufanya kazi kwa moyo pindi unapo subiri majibu ya uhamisho kwa muda mrefu

   
 • masoud j mwakoba

  Tanzania kuna walimu wengi mno tena walio tayari kufanya kwa moyo,tatizo lenu serikali mnapanga mnavyojisikia ninyi,kwa hilo tutaendelea kuona walimu hawatoshi

   
 • Kelvin msumule

  Jaman nchi hii haitaisha ufisadi coz suala la walimu wapya limekuwa tatizo sasa kwani halimashauri zingine zinawalipa mishahara ya mwez february na zingine hazina habari hasa huku DODOMA-KONGWA ubabaishaji mtupu. hivi elimu itakuwa kweli wakati walimu wanakufa njaa? wizara iingilie kati.

   
 • hiyo ya kukaa chini na kusomea kwenye makanisa na misikiti,iongozi ni wanafiki na hawana hata uzalendo.huyu bwege mwingine ameibiwa na mwanamke aliyekuwa nae hotel.bad ass enough anaulizwa pesa zote pamoja na hizo silaa mbili za nini?!anadai ni vijipesa na slaa mili ni muhimu kwa kuwa hajui adui yake ni nani?!vp kmHVYO VIJISENTI VINGETUMIKA KUNUNUA MADAWATI KM MZALENDO.Most leaders in tanzania are fools and they actually dont understands themselves.time is limited!before u got to pick up gunns!

   
 • musa dai amani

  Hivi viongozi wa wizara ya Elimu huwa wanatembelea wilaya ya Ulanga kujua shida za watumishi wao .Au mnakalia viti tu? inawezekana mtu kaajiriwa toka 2006 hadi anapokea take home 254000/= haya huku kwetu Ulanga ni ya kawaida Wizara fuatiliene haya .TUPELEKE WAPI SASA KAMA NINYI MSIPOFUATILIA

   
 

 

Add a comment

required

required

optional