TAMASHA MAALUM LA KUMUENZI HAYATI DR. REMMY ONGALA.

Salaam,

Aziza Machozi Ongala na mumewe Miael McGeachy, mzawa wa Jamaika, wakiongea na Urban Pulse na Freddy Macha kuhusu shughuli zao kuimarisha kumbukumbu na kazi za mwanamuziki Remmy Ongala aliyefariki Desemba 2010, mjini Dar es Salaam.

Mahojiano yalifanywa katika Ubalozi wa Tanzania, London.

Habari zaidi bofya : http://www.thedkremmyongalafoundation.com/

Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE Wakishirikiana na Freddy Macha

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional