IT’S EPIQ NATION INTER-COLLEGE BASH WITH MO BLOG CAMERA.

Watu Roma Roma Roma…!!!

Pichani Juu na Chini Msanii Hip Hop nchini Roma almaarufu kama Mkatoliki akiwakilisha vilivyo wakati wa tamasha la EPIQ NATION INTERCOLLEGES BASH lililofanyika katika fukwe za Mbalamwezi Beach usiku wa kuamkia leo.

Full shangwe na EPIQ NATION.

Wanavyuo wakionekana kupagawishwa na mistari ya Roma.

DJ Choka akimpa Back Vocal Msanii Roma a.k.a Mkatoliki.

 Msanii wa Ben Paul ndani ya nyumba hizi zote ni shangwe za EPIQ NATION INTER-COLLEGE BASH.

  Mashabiki wakishoo love na Ben Paul huku akiwaambia” Uzuri sio sura mama bali ni tabia”…..!!!

“Hakunaga zaidi yangu mi na wewe” Ni Sumalee ndani ya tamasha la EPIQ NATION INTERCOLLEGE BASH.

Akishow love na fans wake.

Full Kwaito.

This is Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa akikonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha la EPIQ NATION INTERCOLLEGE BASH.

Woyo wayo woyoyo wiyo wayo….Special for MO BLOG.

Umati wa Wanavyuo waliofurika kula bata katika ufukwe wa Mbalamwezi uliopo jijini Dar es Salaam.

Hii ndio MO BLOG ya Kitaa…Mkali wa Crunk CPWAA.

 New Family ya CPWAA ikionyesha umahiri wa kulitawala jukwaa.

 Hata Kiduku tunaweza…!!

 Dogo mkali wa kuzunguka na Kichwa. 

 Vijana wa CPWAA wakitoa shoo.

 

 

CPWAA on the stage.

 Kwaito kama kawaida yake…Wanavyuo wakijiachia na EPIQ NATION INTRE-COLLEGE BASH.

 Wadau wa Zantel EPIQ NATION nao walihudhuria.

Pichani Juu na Chini ni Familia mpya ya MO BLOG.

Party People.

MO BLOG Family.

Familia yetu inazidi kuwa kubwa.

Mjukuu wa Ambua Dullah akishoo love na Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa.

Mdau Seif Kabelele kulia akiwa na friends.

DJ Choka na Mdau ndani ya Nyumba.

Mwamba wa Kaskazini Joh Makini (wa tatu kushoto) sambamba na Lord Eyez Kulia wakishoo love na Fans wao.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

2 Comments

 

 

Add a comment

required

required

optional