MKURUGENZI MKUU WA ZAMANI WA ATCL DAVID MATAKA APANDISHWA KIZIMBANI LEO.

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kusomewa mashitaka matatu yanayomkabiri likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo. Baada ya kusomewa mashitaka hayo, Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil. 20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.

Credit to Michuzi Blog.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional