ORYX GAS KUANZISHA BEI MOJA YA GESI NA MITUNGI NCHI NZIMA.


ORYX GAS inatanguliza shukrani za dhati kwa wateja wetu, wasambazaji, wadau mbalimbali na serikali yetu kwa ujumla katika jitihada za kuendeleza na kuboresha biashara ya gesi aina ya LPG (Liquefied Petroleum Gas), al maarufu, ORYX GAS.

GESI YA ORYX ni nishati inayotumika kwa Mapishi na Mwanga na ni muhimu kwa kuwa ni safi, salama, gharama yake ni nafuu, rafiki wa afya na mazingira na rahisi kumfikia mtumiaji wa mwisho kote nchini. Ni muhimu pia kwa kuwa ni nishati mbadala itakayochangia kupunguza ukataji wa miti na misitu kwa ajili ya kuni na mkaa. Miti na misitu si muhimu tu kwa sababu ya thamani yake kiikolojia, bali ni muhimu pia kama vyanzo vya mahitaji muhimu ya binadamu, kama majengo, mbao, dawa na matunda. Hali kadhalika, ni muhimu pia kwa kuhifadhia vyanzo vya maji,  bioanuai  na huhifadhi hewa ukaa inayozalishwa kila siku kutokana na shughuli za binadamu viwandani na uzalishaji mwingine wa mali.

Kwa kutambua kwamba GESI ni nishati muhimu kwa kila raia wa taifa hili, wa kipato cha chini na juu, wa kijijini na wa mjini, kampuni ya ORYX imewekeza katika miundo mbinu muhimu ya kuagiza na kusambaza gesi nchini, na kujikita katika kupanua wigo wa wasambazaji, kuwezesha watumiaji wapya kumudu gharama za kwanza katika matumizi ya gesi kwa malipo ya awamu na kuielimisha jamii faida za matumizi ya gesi ikiwa ni pamoja na kuwaondoa hofu ya ulipukaji.

Jitihada hizo zimemlenga Mtanzania wa kawaida, wajasiriamali wadogo na wakubwa, taasisi binafsi na za umma ili waweze kutumia gesi na waachane na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa.

Mpaka mwezi Novemba 2011, gesi imekuwa na bei tofauti katika maeneo tofauti ya nchi yetu. Hii ni kutokana na utofauti wa gharama za usambazaji kutoka sehemu moja hadi nyingine, kama inavyoonyeshwa kwenye jeduari “A” hapa chini.

UJAZO WA MTUNGI (KG)

BEI ZA GESI KATIKA MIJI TOFAUTI KUANZIA AGOSTI 9’ 2011

DAR

MBY

DOM

S’ WANG

MTR /LIN

MWZ

BUNDA

6

      19,500  22,080  21,240      22,920     22,020  22,000  22,660

15

      48,000  54,450  52,350      56,550     54,300  53,000  54,650

Hili suala limeonekana kuwa tatizo na pingamizi kwa watumiaji wapya kutokana na kushindwa kutambua bei sahihi iliyopendekezwa na ORYX.

Pamoja na hayo, sambamba na nishati nyingine za mafuta, bei za gesi katika soko la kimataifa zimekuwa zikipanda na kushuka. Hali kadhalika, shilingi ya Tanzania imekuwa ikishuka thamani kwa ulinganisho na dola za kimarekani. Mathalan, mwezi Julai 2011, dola moja ya marekani ilikuwa na thamani ya Tshs 1530. Hii inamaanisha be za jeduari “A”  hapo juu zilikuwa sawa na dola za marekani kama inavyoonyeshwa kwenye jeduaru “B” hapa chini;

TZS

UJAZO WA MTUNGI (KG)

DAR

MBY

DOM

S’ WANG

MTR /LIN

MWZ

BUNDA

6

      19,500  22,080  21,240      22,920     22,020  22,000  22,660

15

      48,000  54,450  52,350      56,550     54,300  53,000  54,650

July Exch Rate 1530

USD

6

12.7

14.4

13.9

15.0

14.4

14.4

14.8

15

31.4

35.6

34.2

37.0

35.5

34.6

35.7

Pamoja na kupanda kwa bei ya gesi katika soko la kimataifa kuanzia Julai 2011, ORYX GAS haikupandisha bei hadi hivi leo. Hali kadhalika, thamani ya shilingi kwa dola imedhoofika mpaka Tzs 1,750. Hii inamaanisha bei zetu za gesi, zilitakiwa kupandakama inavyoonyeshwa kwenye jeduari “C” hapa chini;

UJAZO WA MTUNGI (KG)

DAR

MBY

DOM

S’ WANG

MTR /LIN

MWZ

BUNDA

6

      22,304  25,255  24,294      26,216     25,186  25,163  25,918

15

      54,902  62,279  59,877      64,681     62,108  60,621  62,508

Hali kadhalika, bei ya chuma pamoja na kudhoofika kwa shilingi, vimepandisha gharama ya mitungi ya gesi kwa asilimia ishirini (20%)kamainavyoonyeshwa kwenye jedwari “D” hapa chini;

UJAZO WA MTUNGI (KG)

TZS

BEI ZA MITUNGI KWA SASA

6

      37,000

15

      65,000
BEI YA MTUNGI KWA DOLA

6

        24.18
(July Exch rate 1530)

15

        42.48
BEI YA MTUNGI KWA DOLA

6

      42,320
(Nov Exch rate 1750

15

      74,346
BEI PENDEKEZI KWA DEC 2011

6

      37,000

15

      65,000
GHARAMA YA HASARA

6

        5,320
KWA ORYX

15

        9,346

BEI MOJA NCHI NZIMA KUANZIA 10 DECEMBA 2011

Katika jitihada na dhamira yetu ya kuendeleza maboresho ya soko la gesikamanishati mbadala kwa watu wote nchini, ORYX GAS imeonelea kuwa na bei moja za gesi pamoja na mitungi nchi nzima. Hii ni kuanzia mitungi ya 3kg, 6kg, 15kg, 38kg. Hivyo basi, badala ya kupandisha bei kama ilivyo kwa jedwali “C” hapo juu, mkakati wa bei moja utakuja sambamba na upungufu wa beikamainavyoonyeshwa kwenye jedwari “E” hapa chini;

 

UJAZO WA MTUNGI (KG)

DAR

MBY

DOM

S’ WNG

MTR /LIN

MWZ

BUNDA

BEI ZA GESI JULAI- SEP 2011

6

      19,500  22,080  21,240      22,920     22,020  22,000  22,660

15

      48,000  54,450  52,350      56,550     54,300  53,000  54,650
 
BEI STAHIKI BAADA YA MABADILIKO YA THAMANI YA DOLA KWA SHILINGI (1usd= 1530 Jul & 1 usd= 1750 Nov ’11)

6

      22,304  25,255  24,294      26,216     25,186  25,163  25,918

15

      54,902  62,279  59,877      64,681     62,108  60,621  62,508
 
 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

3

11,000

11,000

11,000

11,000

11,000

11,000

11,000

BEI MOJA PENDEKEZI- GESI

6

      21,000

 21,000

 21,000

     21,000

    21,000

 21,000

 21,000

15

      52,000

 52,000

 52,000

     52,000

    52,000

 52,000

 52,000

 

38

120,000  120,000  120,000  120,000  120,000  120,000  120,000 
GHARAMA YA HASARA KWA ORYX

6

        1,304   4,255    3,294        5,216      4,186    4,163    4,918

15

        2,902  10,279    7,877      12,681     10,108    8,621  10,508

 

Imetolewa na:

Hamisi Ramadhani

Mkurugenzi Mtendaji

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional