MAMIA WAMUAGA JOHN NGAHYOMA LEO.

Mchungaji Justine Kapanaga wa Kanisa la The Winners akiendesha Ibada ya kuombea mwili wa marehemu John Ngahyoma.

Wanafamilia katika majonzi.

Ibada ikendelea.

Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki katika Ibada.

Kutoka kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa pamoja na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mh. Steven Wasira wakifuatilia Ibada.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mh. Steven Wasira akitoa heshima za Mwisho.

Mkurugenzi wa TBC Bw. Clement Mshana akitoa heshima za mwisho.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho.

Mke wa Marehemu akipewa pole.

Dada Vicky Ntetema akitoa heshima za mwisho.

Mke wa Marehemu akifarijiwa.

Pichani Juu na Chini ni vilio na simanzi vilitawala.

Familia ya Marehemu ikitoa heshima za mwisho.

Mke wa marehemu Faidh Ngahyoma akitoa heshima za mwisho.

Pichani Juu na Chini: Safari ya kuelekea makaburini.

Mamia ya watu yakimsindikiza Marehemu John Ngahyoma kwenye nyumba yake ya milele.

Ibada ya mazishi ikiendelea.

Pichani Juu na Chini ni Jeneza likiteremshwa kaburini.

Simanzi….

Mke wa Marehemu Faidh Ngahyoma akiweka mchanga kwenye kaburi.

Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional