ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA MASOKO MH. LAZARO NYALANDU JIMBONI KWAKE

Gari la Naibu Waziri wa viwanda, biashara na masoko Mhe.Lazaro Nyalandu likiwa limekwama katika eneo la kijiji cha Migugu Kata ya Makuro Tarafa ya Mtinko Singida vijijini wakati Naibu Waziri akienda kukagua mradi wa maji katika shule ya Migugu.

Naibu Waziri Nyalandu akizungumza kwa msisitizo kwenye mkutano wa hadhara.

 Naibu Waziri wa Viwanda na masoko Lazaro Nyalandu akizungumza na wananachi katika eneo la mradi wa maji katika kijiji cha Migugu jana.

 Naibu Waziri wa viwanda, Biashara na Masoko Mh.Lazaro Nyalandu (wa pili) akiongozana na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Singida Illuminata Mwenda wa kwanza wakielekea kwenye mradi wa maji katika shsule ya msingi Migugu.

Wananchi wa kijiji cha Kijota wakimpa zawadi ya Mbuzi Mbunge wao Lazaro Nyalandu mara baada ya akauhutubia wananchi hao.

Naibu Waziri wa Viwanda na masoko Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi pamoaja na wanafunzi wa shule za sekondari za Kijota, na Hull kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja jimboni kwake.

Pichani Juu na Chini ni Wanafunzi na Wananchi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mh. Lazaro Nyalandu.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional