WAZAMIAJI WAPATA MIILI ZAIDI NDANI YA MELI ILIYOPINDUKA NCHINI ITALIA.

Wazamiaji  wanaotafuta  watu  walionusurika katika ajali ya kuzama kwa meli ya iliyokuwa ikifanya safari  za  kitalii  iliyopinduka   ya  Costa Concordia  nje  ya  Pwani  ya  Toscana  nchini  Italia wamegundua  miili  ya  watu  wengine watano.

 Wahanga  hao  wamepatikana   baada  ya  jeshi  la majini  la  Italia  kutumia  milipuko  kutoboa matundu   katika  eneo  la  mbele  la  meli  hiyo  ili kuweza  kuingia  katika  maeneo  ambayo  ni vigumu  kufikika  ndania ya hiiyo.

Idadi  ya  watu waliofariki  sasa  inafikia  watu  11 huku wengine kiasi  ya watu 12 wakiwa  bado  hawajulikani waliko. 

 

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional