HAPPY BIRTHDAY JERRY SILAA.

Leo ni Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.

MO BLOG TEAM:  Inakutaki Maisha Mema yenye baraka na Uongozi bora wa Manispaa ya Ilala tunategemea mengi kutoka kwako.

 
 
 

About the author

More posts by

 

 

 

Add a comment

required

required

optional