Mwenyekiti wa Chama cha Makampuni ya Walinzi Watu Tanzania (TAMASCA) Bw. Raphael Geras (Kulia) akizungumza na Vyombo vya Habari katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu (TAMASCA) Bw. Abbas Kondo na Naibu Katibu (TAMASCA) Bw. Conrad Manyama.
Chama cha Kampuni za Ulinzi kimezungumzia huduma za ulinzi, kwa njia ya watu kwa kutumia vifaaa mbalimbali kufunga vifaa mbalimbali na mitambo ya kiusalama na huduma za kiupelelezi.
Pia chama hicho kimesema kuna huduma za kipelelezi na huduma ya ushauri na upelelezi wa kiusalama na ulinzi.
TAMASCA kama ilivyoainishwa iko katika kundi la kwanza ambapo linafanya kazi ya ulinzi kwa kutumia watu (Man Guiding) ambapo ina maanisha watu ndio rasilimali kubwa katika utekekelezaji wa shughuli kubwa za kiulinzi.











at 2:26 pm
safi sana Tamasca