WAZIRI MKUU PINDA ZIARANI MKOANI SHINYANGA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama joko banifu kwenye jiko la shule ya sekondari ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kishapu wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofungua jengo la Halmashauri  ya Wilaya  ya Kishapu akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari  23,  2012.

Askari wa Jeshi la Jadi yaani Sungusungu wa mji  mdogo wa Maganzo wakicheza ngoma yao wakati Waziri Mkuu Mizengo  Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara katika  mji huo mdogo akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23,2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwaaga kwa  kuwapungia wananchi wa Mji Mdogo wa Maganzo baada ya kuwahutubia  akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 23, 2012. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

 
 
 

About the author

More posts by

 

 

 

Add a comment

required

required

optional