Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika akitoka mahakamani na wakili anayemtetea katika kesi yake Bw. Mbogolo.
Wakili wa Mh. John Mnyika Bw. Mbogolo akisalimiana na Bi. Hawa Ng’umbi(CCM).
“Nguvu ya Umma……Peoples Power!!” .
Mh. John Mnyika akitembea kutoka mahakamani kuelekea ofisini kwake na wananchi waliohudhuria mahakamani.












