MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ULIOFANYIKA KATA YA KING’ORI.

Mkapa akimnadi Sioi mkutano wa mwisho wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki Kata ya King’ori.

Umati kwenye mkutano wa CCM King’ori.

Mukama akihutubia King’ori.

Lowassa akisalimia.

Watu King’ori wanavyopenda CCM.

Mtoto kichwani amuone Sioi.

Shangwe za CCM King’ori.

 Nape jukwaani.

Wafuatiliaji.

 Mwanri na Katibu Mkuu wakikumbatiana kwa furaha.

Lowassa akimsalimia Mshua. Katikati ni Mukama na Msekwa.

 Ndassa na Lowassa. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional