Rais Kikwete akimzawadia Neville Meena.
Rais Kikwete akimzawadia mwandishi wa habari mkongwe Mzee Fili Karashani.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyuma yao ni washindi Fili Karashani (Lifetime Achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Meza kuu.
Rais Kikwete katika Picha ya pamoja na washindi wote. (Picha na IKULU).












