Angela Damas Kutoka Global Change Platform akielezea Mada kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi katika Semina iliyoandaliwa na TMUN 2012 (Bunge Kivuli la Vijana wa Umoja Wa Mataifa) linaloendelea katika Ukumbi wa Pius Msekwa Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma.
Mtoa Mada wa Kwanza Bi Rebeca Muna Kutoka Global Change Platform alipokua akitoa maelezo ya ziada kuhusiana na Mada ya Mabadiliko ya Hali Ya Hewa katika Semina iliyoandaliwa na YUNA (Youth for United Nations Association) katika Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wakiuliza maswali kwa Mwendesha Mada juu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa iliyokua ikitolewa na Angela Damas katika Semina iliyoandaliwa Na Youth of United nations Associations (YUNA) katika Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Washiriki Kutoka Vyuo mbalimbali duniani waliohudhuria Bunge Kivuli la Vijana wa Umoja wa Mataifa katika Semina inayofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Ripota Wetu akiwa Busy Katika Kuhakikisha Kila kitu kinaenda hewani katika semina juu ya Mabadiliko ya hali ya hewa iliyoandaliwa na Youth of United Nation Association inayofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa ndani ya Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma.Picha na Ripota wetu JOSEPHAT LUKAZA WA http://josephatlukaza.blogspot.com















