Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania Tahir Mahmood Chaundry wakati walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi akiongea na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Ahamadiyya nchini walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salam leo.
Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania Tahir Mahmood Chaundry wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM).










