-
-
CHADEMA YATAMBA KUBEBA UBUNGE SUMBAWANGA MJINI.
Na.Mwandishi wetu Chama cha Demokrasi na Mendeleo (CHADEMA ) leo jijini Dar es Salaam kimetamba kunyakua kiti cha ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini Baada ya [...]
-
RAIS KIKWETE AWASILI TANGA LEO.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika [...]
-
HALMASHAURI YA WILAYA YA ILALA YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 90.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, wakati akisoma bajeti ya zaidi ya [...]
-
PINDA AONGOZA KIKAO CHA SAGCOT.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha Investment Forum SAGCOT Local Investors, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 30, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri [...]
-
LONDON 2012 FOOTBALL TOURNAMENT TICKETS ON SALE NOW.
The Olympic Football Tournament will take place at six iconic venues in cities across the UK.. Highlights include the Team GB Women’s team kicking off [...]
-
ONYESHO LA ZIARA ZA WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MJINI DODOMA.
Msanii chipukizi Halima Ramadhani a.k.a Haris akitumbuiza katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Msanii chipukizi Issa Dubart a.k.a Dubissan ambae ni mshindi [...]
-
MWANAMITINDO HEIDI KLUM AONGOZA CAMPAIGN YA HISANI KUPAMBANA NA SARATANI YA DAMU.
Mwanamitindo kutoka ujerumani Heidi Klum wiki hii amepanda jengo refu mjini New York “Empire State building” ikiwa ni katika harakati za hisani kuelimisha jamii juu [...]
-
MKURUGENZI MPYA MISA – TAN AWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUWA KIOO CHA JAMII.
Mkurugenzi mpya wa Taasisi ya Vyombo Vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA) Tumaini Mwailege akiwaeleza waandishi wa habari umuhimu wa kupigania mazingira mazuri ya kazi na [...]
-
AESHY HILALY WA CCM AVULIWA UBUNGE WA JIMBO LA SUMBAWANGA MJINI.
Hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa Mbunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye [...]
-
MH. TUNDU LISSU AFANANISHA KESI YAKE NA MKASA WA YOHANA MBATIZAJI.
Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama cha CHADEMA Mh. Tundu Lissu (mwenye fimbo) akiingia kwenye viwanja vya kituo cha zamani cha mabasi mjini [...]
-
UHASIBU TAWI LA SINGIDA YAIBUKA KIDEDEA TAMASHA LA MICHEZO LA CRDB.
Mabingwa wa soka 2012/2013 timu ya Uhasibu tawi la Singida -Uhasibu imeibuka bingwa, baada ya kushinda kwenye mashindano ya tamasha la michezo lilioandaliwa na CRDB [...]
-
UGANDAN ARMY SAYS SUDAN IS BACKING JOSEPH KONY’S LRA.
The Ugandan army says the Lord’s Resistance Army (LRA) led by Joseph Kony is being supported and supplied by the Sudanese government. The LRA is [...]
-
AMANI YATOWEKA MIONONI MWA WAKRISTO NCHINI KENYA NA NIGERIA KUTOKANA NA MASHAMBULIZI.
Watu zaidi ya 15 wameuawa baada ya kushambuliwa kwa mabomu na bunduki walipokuwa katika ibada kwenye chuo kikuu katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria. [...]








Recent Comments