JK AKAZA MSULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI…MKULO, MPONDA, NGELEJA NJE.!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012.

Pichani Juu na Chini ni baadhi Wanahabari wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakiwajibika wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012.

-JANUARY MAKAMBA AULA.

-RAIS AAHID KUTOWACHEKEA WALIOSABABISHA MAWAZIRI KUWAJIBIKA.

MAWAZIRI

 

1.         OFISI YA RAIS

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)

Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)

Ndugu George Mkuchika, Mb.,

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)

Ndugu Celina Kombani, Mb.,

 

 

2.         OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)

Ndugu Samia H.  Suluhu, Mb.,

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)

Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,

3.         OFISI  YA WAZIRI MKUU

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)

Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)

Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)

Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,

 

4.         WIZARA

 

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi

Dr.  John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria

Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira

Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

 

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Prof.  Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Prof.  Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji

Prof. Jumanne Maghembe,  Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum

Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika

Eng. Christopher Chiza, Mb.,

Waziri wa Uchukuzi

Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii

Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

 

Waziri wa Viwanda na Biashara

Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

 

Waziri wa Fedha

Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini

Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,

5.         NAIBU MAWAZIRI

 OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI

6.         OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais

Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,

7.         OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)

Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)

Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,

8.         WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira

Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

 

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara

Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi,

Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

 

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

 

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii

Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

 

Naibu Waziri wa Ujenzi

NduguGerson Lwenge,Mb.,

 

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,

Dr. SeifSuleiman Rashid,Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini

Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi

Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Ndugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji

Eng. Dr. Binilith Mahenge,Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini

Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha

Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha

Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

14 Comments

  • Emmanuel Masasila

    Let every appointee have eyes which can see 360degrees, Let every appointee have critical mind enough to accomodate national interest. It is for the natinal interest let them all work and if any find that he/she can not manage the position better state before get sworn. We all have to focus on the fate of our nation

     
  • NYAMARONGE JJ.

    hakuna jipya,wezi tupu.kilichobadilika nimajina tu,tatizo kubwa ni mfumo mzima wa utendaji kuanzia pres to village officers

     
  • hongera kikwete

     
  • Lets wait and see if they will be taken to court all who stole money of public or not. And if take will they give them back?

     
  • Anonymous

    ongera rais jk kwakutoa uozo uliokuwepo. watanzania tunahitaji hao jamaa warudishe pesa zote walizochukua pili hatua za kisheria zichukuliwe haraka. ushauri kwa mawaziri wapya tunahitaji mambo mawili uzalendo pili uwajibikaji wa pamoja nyie pamoja na sisi.mnapo apishwa sasa hivi ombeni meno, power,yoyote atakaye haribu kwenye wizara yako fukuza mapema kabla ludovick uto hajafika kwakwo pamoja na mtanzani mzalendo ambaye wananchi tumempa tuzo ya mzalendo pili tzn ambaye ni zito zuberi kabwe.

     
  • janeth

    mnacho sema ni kweli au mnatufumba macho watanzania
    acheni kutufanya “blackmail” twafahamu wa laji mnajuana

     
  • japhet

    some how let them give chance to perfome their responsibility effectively. please for ministries if they think they will fail fulfill their duty it is better to step down fast before the cross to pass to them.

     
  • nguno chugga

    Ina maana gani kuongeza manaibu katika wizara ya nishati na madini(Simbachawene na Maselle)halafu kuna haja gani kuwa na waziri asiye na wizara maalum(Mwandosya)?au ndo yale mambo ya kuzawadiana kwa urafiki au kuogopana katika medani ya siasa hivyo kutulizana kwa staili ya “kaa hapa utulie”?Halafu kuna ulazima gani wa Maghembe kubadilishwa wizara kila yanapotokea mabadiliko?mbona hatuaelewi kwani lazima awemo hata kama ameboronga hata wakulima wakapata mbolea feki na hata mfumo wa stakabadhi ghalani nao hauendi,leo kapew maji ili nako akaue miradi ya maji?Tutakutana uchaguzi 2015.Kazi njema wateule wote!!!

     
  • nguno chugga

    JK hapa umemaliza,lakini…………!!ngoma bado mb ichi utaiona mwenyewe bunge la bajeti jinsi watu wako hawa watavyohenya hasa watuhumiwa uliowaacha ndani kwa kuwabadilishia wizara na tena zaidi wakuu wa mashirika na taasisi za Umma tunasubiri.
    Hawa walioachwa kwenye baraza watashitakiwa au ndo wametoka kimaisha kwa mtindo huo.

     
  • msema kweli

    suala si kuwabadili mawaziri bhoja wale walioiba wapelekwe mahakamani. pia wabunge ambao wanatafuta umaarufu kwa kulipua mabomu hawatufai wanachoonyesha ni chuki na kutafuta kuungwa mkono na wananchi, mwishoe tumeingiza makundi ya wavuta bangi bungeni badala ya mbunge kuwakilisha wananchi anafanya fujo. ukiuliza upinzani. tunataka hoja na si brabraa. kuacha bunge kwenda kupiga miziki ya bangi mitaani ni ujinga mbunge enakosa hoja za msingi anataka waziri akawe sungusungu wa kulinda wanyama. wewew ulipoona tukio ulitoa taarifa gani polisi? tuwe macho na siasa za chuki tumeshaona vurugu za mbeya na ugomvi wa kijinga wa kugombea umaarufu kwenye maredio. watanzania wa kawaida wapenda amani hautufai hata kidogo. ukinga na unyakyusa pia hautufai pia tusiwatenge wasafwa

     
  • Ismaily moses

    Jk umefanya kazi kuondoa uozo sikazi rahisi ila tutarudisha imani kidogo sasa mawaziri chapeni kazi acheni kulala

     
  • NATAZAMA LAKINI SIONI WALA SIELEWI, NADHANI BADO NINA MSHANGAO UNAOTOKANA NA KUTEULIWA KWA WABUNGE KIPINDI TUNA UHITAJI WA MAWAZIRI,NAOMBA KUULIZA WATANZANIA WENZANGU, HAWA MAWAZIRI WA2 WALIOBAKI KWA STAILI YA KUBADILISHWA WIZARA NDO WAMEHITIMU MTIHANI WA `KUVUA GAMBA`-AU? WAO HAWASHTAKIWI SASA? HALAFU HAWA MAFISADI,WALIOTUFISADI NA KUTUKIMBIA WANATUACHA TUMETUNDIKIWA DRIP WAMESHAFIKISHWA WANGAPI MAHAKAMANI? NAPENDEKEZA MTOA TAMKO ASEME `WAKAMATWE MARA MOJA, NA KAMA ANASHINDWA ATUGAWIE RASILIMALI ZILIZOBAKI NA SISI WANYONGE, MAANA MNYONGE MNYONGENI `ETI HAKI YAKE MPENI` KAMA VIPI MTUPATIE NA SISI HIYO HAKI YETU.

     
  • NATAZAMA LAKINI SIONI WALA SIELEWI, NADHANI BADO NINA MSHANGAO UNAOTOKANA NA KUTEULIWA KWA WABUNGE KIPINDI TUNA UHITAJI WA MAWAZIRI,NAOMBA KUULIZA WATANZANIA WENZANGU, HAWA MAWAZIRI WA2 WALIOBAKI KWA STAILI YA KUBADILISHWA WIZARA NDO WAMEHITIMU MTIHANI WA `KUVUA GAMBA`-AU? WAO HAWASHTAKIWI SASA? HALAFU HAWA MAFISADI,WALIOTUFISADI NA KUTUKIMBIA WANATUACHA TUMETUNDIKIWA DRIP WAMESHAFIKISHWA WANGAPI MAHAKAMANI? NAPENDEKEZA MTOA TAMKO ASEME `WAKAMATWE MARA MOJA, NA KAMA ANASHINDWA ATUGAWIE RASILIMALI ZILIZOBAKI NA SISI WANYONGE, MAANA MNYONGE MNYONGENI `ETI HAKI YAKE MPENI` KAMA VIPI MTUPATIE NA SISI HIYO HAKI YETU.

     
  • Anonymous

    Niwachwa hoi na Mawaziri wa wizara ya Fedha kuanzia Waziri mpaka manaibu wake, Hivi hakuna compitent kweli anaeweza kushika hiyo wizara? Siwezi kuamini wizara kama hiyo na isitoshe imebaki siku chache budget ya serikali ianze.Huyo dada za kizanzibar Mh! maongezi yake tu unaona empty! Jamani washauri mumshauri Rais vizuri, wachumi na watu wa finance compitent wapo sio lazima awe mwanachama wa CCM anaelipa ada zake hata kuingia kwenye chama kwa ajili ya kuteuliwa mbunge inawezekana, tuwatumie wasomi wetu.

     
 

 

Add a comment

required

required

optional