Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB Bw. Iman Kajura akizungumzia uzinduzi wa promosheni ya jenga maisha yako na NMB ambapoa mesema promosheni hiyo sio tu kwamba itaongeza tabia ya kujiwekea akiba lakini pia itasaidia wateja watakaoshinda kufikia malengo waliyojiwekea na kuboresha maisha yao. Kulia ni Meneja Masoko wa NMB Shilla Hatibu Senkoro.
Bw. Iman Kajura (kulia) akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) bango lenye kuonyesha kampeni ya hiyo itakayokuwa ikichezeshwa kila mwisho wa mwezi kwa muda wa miezi mitatu. Kulia ni Bi. Shilla Senkoro.









