MAHAKAMA YASOGEZA KESI YA LULU HADI TAREHE 25 JUNI, 2012.

‘Lulu’ akishuka katika basi la magereza.

Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii maarufu wa filamu za Bongo Steve Kanumba, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akisindikizwa na askari magereza kutoka katika jengo la mahakama Kuu kwenda mahakama kuu ya biashara.

‘Lulu’ akiwa ndani ya mahakama.

‘Lulu akiteta jambo na wakili wake muda mfupi baada ya kufika mahakamani.

Akitoka mahakamani baada ya kesi yake kusogezwa hadi tarehe 25 mwezi huu, ambapo watetezi wa ‘Lulu’ wametakiwa kuwasilisha vielelezo vyenye uthibitisho wa umri wake ifikapo tarehe 13 mwezi huu, wakati upande wa serikali wameomba kuwasilisha vielelezo vyao tarehe 22 mwezi huu ili kumaliza tatizo la utata kuhusu umri wa mtuhumiwa huyo.

‘Full Ulinzi ndani ya mahakama’ wakati kesi ya ‘Lulu’ ikisikilizwa.

Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipanda basi la magereza baada ya kesi yake.

Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika eneo lote nda na nje ya mahakama kuu wakati wa kesi hiyo.

 

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

12 Comments

  • lilian

    wanakazungusha katoto kawatu, hata kama kufunzwa na ulimwengu jamani kashafunzwa, me mwenyewe nlikuwa ckapendi haka katoto ila daaah, tuweni na mioyo ya kibinadamu jamani

     
    • Janeth

      Mimi nakapenda sana kwasababu , haya mambo yanaweza kumtoke mtu yeyote yule hata kama ni wewe! nibahati mbaya. je wewe ungemsukuma mpenzi wako , ungefanyaje?

       
      • Hata, mimi kabla ya matatizo yake nilikuwa sikapendi kutopkana na tabia zake.Ila kwa sasa namuonea huruma sana, kwa mateso anayoyapata, kwani ilikuwa bahati mbaya hakuna aneyependa kumuua mpenzi wake,ila mwenyezimungu atamsaidia tu azidi kumuomba.

         
  • patra

    Jamani tuwe na roho ya kibinadamu japo huyu mtoto ameshajenga chuki na wapenzi wa filamu, kama ni kufunzawa ulimwengu umemfunzwa

     
  • Jamani haka katoto kameshajifunza basi wangekaachia kuliko kukazungusha kila siku

     
  • inauma sana watoto wadogo kujiingiza katika mapenzi wamwache kashafunzwa na ulimwengu.

     
  • jamandhambi

     
  • jamani wa msamehe tu kwani kashajifunza vyakutosha

     
  • Johnson mbola

    Makosa hayana wenyewe,2muombee mungu aachiwe najua amejifunza kutokana na makosa!

     
  • jaman watoto wa kike wenye umri mdogo hasa wanafunzi wanatakiwa kujifunza kutoka kwa lulu na wakifunzwa na wakubwa wasikie hata lulu angemsikiliza mama yake haya yasingemkuta. Ila inauma sana kipenzi cheti kanumba kufa ila tumwombee tu mungu huyu mtoto atoke maana kila nikiangalia filam za bro machozi yananitoka sana, nadhani haka katoto hakakupenda kumuua na pia hakukusudia hasira tu haya yote yakamkuta. Rest in peace kanumba! we will love you always!

     
  • Hey very interesting blog!

     
  • mmmmmmmmmmmm

     
 

 

Add a comment

required

required

optional