Na.Mwandishi wetu
Wakati maelfu ya wakenya na wageni kutoka mataifa mbalimbali wakiaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani nchiniKenyaProf George Saitoti, Makamu wa raisi nchini humo Raila Odinga ameitaka kamati ya Kalpana Rawal kuweka wazi sababu za kuanguka kwa Helcopta iliyo muua Waziri Saitoti na makamu wake.
“vifo vya aina hii vimetokeasanabila majibu ya kuaminika kutolewa, ni lazima tujitakase kwa wananchi waKenyakwa kufanya uchunguzi wa uhakika na kutoa majibu yanayoridhisha” alisema Odinga
Nae rais wa Kenya Mwai kibaki alieleza kusikitishwasanana kifo cha mtendaji huyo wa juu kabisa katika Serikali yake.











