OMOTOLA JALADE ASINDIKIZA FAMILY DAY NA UZINDUZI WA FILAMU YA ‘SUPER STAR’ YA WEMA SEPETU @ GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL.

Msanii wa Kikundi cha Sarakasi akizungumza na Ngedere anayefahamika kwa jina maarufu kama ‘CHIWAWA’ walipokuwa wakitoa burudani kwenye Family Day iliyoambatana na uzinduzi wa filamu ya kwanza ya Wema Sepetu inayoitwa ‘Super Star’ uliofanyika katika hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam.

CHIWAWA akionyesha umahiri wake wa kuweka pozi la pesa kwa kukunja nne.

CHIWAWA akisalimiana na binti mrembo.

CHIWAWA katika pozi la kimaskini.

CHIWAWA katika pozi huku akishushia Fanta yake baridi.

Wadau wakitazama vituko vya CHIWAWA.

Rapper wa SKYLIGHT Band inayokuja kwa kasi mjini Sam Machozi na kundi lake wakitoa burudani katika Family Day na Uzinduzi wa filamu ya ‘Super Star’ ya Wema Sepetu.

First Lady wa SKY LIGHT Band akiwapa burudani Mabibi Bomba walioalikwa kutoa show ya Cat walking katika uzinduzi huo.

Omotola Jalade na mwenyeji wake Wema Sepetu wakipata picha ya ukumbusho walipokuwa wakielekea sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi huo.

wakielekea kwenye siti zao.

Wema Sepetu akiteta jambo na mgeni wake.

Wema Sepetu akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni wake Omotola Jalade (Hayupo pichani) msanii maarufu wa filamu nchini Nigeria ambapo alisema alituma mialiko kwa mastaa wengi wa Nigeria ambao ni  Genevieve Nnaji, Omotola Jalade and Rita Dominic na hatimaye  Omotola Jalade aliitika mwaliko wake na kujumuika nae katika uzinduzi huo. Kushoto ni  MC Benny Kinyaiya.

Omotola Jalade akiwasalimia Watanzania na kuahidi kutoa ushirikiano na wasanii wa Tanzania na kuitangaza Tanzania katika anga za Kimataifa.

Mabibi Bomba wakitoa show wakati wa Family Day na uzinduzi wa filamu ya ‘Super Star’ ya Wema Sepetu.

Mabibi Bomba wakipiga Cat walk.

Kushoto ni Meneja Mkuu wa Giraffe Ocea View Hotel Bw. Nayak Rahul akishuhudia uzinduzi wa Filamu ya ‘Super Star’ ya Wema Sepetu.

Sehemu ya Umati wa watu waliohudhuria uzinduzi huo.

Hawa ni Mapacha ama…???

Baadhi ya Wasanii wa filamu nchini waliohudhuria uzinduzi huo.

Warembo walivunja makabati.

Peace & Love Yooo..!

Pichani Juu na Chini Omotola Jalade akipata picha za ukumbusho na Fans wake.

Omotola Jalade akiwapungia mashabiki wake sambamba na mwenyeji wake Wema Sepetu.

Akielekea Hoteli  na ulinzi mkali baada ya uzinduzi.

Waandishi wa habari nao hawakukubali kabisa aondoke hivi hivi na kuamua kupiga nae Interview.

Afisa Masoko wa Vyakula na Vinywaji wa Giraffe Ocean View Hoteli Martha Mbilinyi katika pozi na Wema Sepetu.

Omotola Jalade (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Giraffe Ocean View Hoteli. Kulia ni Meneja Mkuu wa Giraffe Ocea View Hotel Bw. Nayak Rahul na aliyechuchumaa ni Afisa Masoko wa Vyakula na Vinywaji wa Giraffe Ocean View Hoteli Martha Mbilinyi.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

9 Comments

 

 

Add a comment

required

required

optional