WAZIRI MKUU KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbune wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kushoto ) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni Juni 26,2012.(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida (katikati) na Mbunge wa Mchinga, Said Mtanda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional