Pole sana Dkt Steven Ulimboka. Tunaiomba serikali ifanye haraka kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo la kinyama, lakini tunawaomba pia madaktari warejee kazini kutuhudumia sisi wanyonge huku wakiendelea na madai yao.
Huu unyama sio tuu kwamba umemuumiza Ulimboka bali unaua mawazo ya vijana wenye uwezo wa kuongoza na hivyo kupelekea kuendelea kuwa na viongozi dhaifu wasiokuwa na uwezo. Usalama wa Taifa uangaliwe upya na wawekwe wtu wenye uwezo. Umepoteza dira. Sio usalama wa taifa bali umekuwa ni maafa ya taifa la sasa na la baadaye!!
Huu unyama sio tuu kwamba umemuumiza Ulimboka na madaktari kwa ujumla wao bali unaua mawazo ya vijana wenye uwezo wa kuongoza na hivyo kupelekea kuendelea kuwa na viongozi dhaifu wasiokuwa na uwezo. Usalama wa Taifa uangaliwe upya na wawekwe watu wenye uwezo. Umepoteza dira. Sio usalama wa taifa bali umekuwa ni maafa ya taifa la sasa na la baadaye!!Usalama ulitakiwa uwe wa kuleta maendeleo endelevu
jamani kama mambo yenyewe yapo hivyo hata sisi wanafunzi tunaosomea udokta tunaona hainahaja ya kuajiliwa tanzania ni bora tuende tukafanye kazi nchi za nnje nadhani ndio watatujali zaidi,kwani nabii akubaliwi kwao
mbali na hayo pole sana doctor ulimboka,utapona kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
kilicho fanyika ni kitendo cha kinyama na cha kikatili na serikali ilichunguze suala ili kwa kina na kulitolea maamuzi lakini nilitegemea madocta wataendelea na mgomo juu ya ulimboka, kama wajua mtu asipo tibiwa anakufa basi waache mgomo na kudai madai yao taratibu
mnyika alisema rais ni dhaifu,wakasema ametukanwa je huu si udhaifu wa kikwete ikiwa anasema kama itabainika ni serikali imehusika yeye hausiki.Inamaana ni mtu gani anaweza kufanya kitu bila kushirikisha ngazi za juu.hakuna cha tume wala nini hili tendo limefanywa na serikali
hivi unajua madocta na ndugu zao kama wanatibiana tatizo linakuja kwa wale wenye uwezo wa chini maskini ambao ndio wengi hapa tz(ningekua mimi nisinge goma sababu najua kugoma kwangu kuna athari)
binafsi ninasikitika sana kutokana na mambo yanayoendelea katika nchi yetu,hebu watanzania tumtangulize mungu,lakini serikali yetu mjirekebishe wananchi hatuna imani tena…
Pole Ulimboka, naomba wananchi msifikirie mambo tusiyoyajua na kupotosha raia. Je huoni pia inawezekana kabisa raia waliofiwa na ndugu zao wakati wa mgomo wanaweza kukasirika na kufanya kitendo kibaya? Hayo tumuachie Mungu
kuhusu hili tusidanganyane haiwesekani wananchi/mwananchi atekwe katika nchi yenye dola wakati huohuo akiwa na mgogoro na serikali kuhusu hili lazima kutakuwa na mkono wa serikali. mungu akubaliki na ugua pole dkt ulimboka
at 12:47 pm

at 1:30 pm

at 1:33 pm

at 10:27 am
Mi nafahamu “KIWETE IS BEHIND THIS”
at 6:45 am
jamani kama mambo yenyewe yapo hivyo hata sisi wanafunzi tunaosomea udokta tunaona hainahaja ya kuajiliwa tanzania ni bora tuende tukafanye kazi nchi za nnje nadhani ndio watatujali zaidi,kwani nabii akubaliwi kwao
mbali na hayo pole sana doctor ulimboka,utapona kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
at 9:15 am
kilicho fanyika ni kitendo cha kinyama na cha kikatili na serikali ilichunguze suala ili kwa kina na kulitolea maamuzi lakini nilitegemea madocta wataendelea na mgomo juu ya ulimboka, kama wajua mtu asipo tibiwa anakufa basi waache mgomo na kudai madai yao taratibu
at 1:11 pm
mnyika alisema rais ni dhaifu,wakasema ametukanwa je huu si udhaifu wa kikwete ikiwa anasema kama itabainika ni serikali imehusika yeye hausiki.Inamaana ni mtu gani anaweza kufanya kitu bila kushirikisha ngazi za juu.hakuna cha tume wala nini hili tendo limefanywa na serikali
at 5:32 pm
ukienda mbela muangalia na nyuma je ingelikuwa wewe ungelisemaje?
at 10:25 am
hivi unajua madocta na ndugu zao kama wanatibiana tatizo linakuja kwa wale wenye uwezo wa chini maskini ambao ndio wengi hapa tz(ningekua mimi nisinge goma sababu najua kugoma kwangu kuna athari)
at 12:36 pm
binafsi ninasikitika sana kutokana na mambo yanayoendelea katika nchi yetu,hebu watanzania tumtangulize mungu,lakini serikali yetu mjirekebishe wananchi hatuna imani tena…
at 12:31 pm
Pole Ulimboka, naomba wananchi msifikirie mambo tusiyoyajua na kupotosha raia. Je huoni pia inawezekana kabisa raia waliofiwa na ndugu zao wakati wa mgomo wanaweza kukasirika na kufanya kitendo kibaya? Hayo tumuachie Mungu
at 7:46 pm