USIKU WA MTU MZIMA DAWA WAFANA JIINI MWANZA.
Mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ommy Dimpo akijiachia jukwaani na mmoja wa mashabiki waliyejitokeza kucheza nae,kwenye shoo [...]
Mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ommy Dimpo akijiachia jukwaani na mmoja wa mashabiki waliyejitokeza kucheza nae,kwenye shoo [...]
Jana usiku tarehe 6 Julai 2012 Bunge limepitisha mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2012/2012. Mtakuwa mmeona wakati bunge lilipokaa [...]
Jose Chameleone akiwa Uwanja wa Taifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili leo. Chameleone akitoa saluti kwa waliofika kumpokea. Chameleone akilakiwa na mmoja wa waratibu [...]
Baadhi ya vijana wanaounda kundi la G5 Click. Snap za kwenye Red Carpet zilihusika pia. Pichani Juu na Chini Warembo wakionesha ufundi wao katika kucheza. [...]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Heshima msanii mstaafu wa muziki wa Taarab, Mwanacha Hassan [...]
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicheka bila uhasama na viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe [...]
Andy Murray became the first British player in 74 years to reach the men’s singles final at Wimbledon with a dramatic fourth-set victory over Jo-Wilfried Tsonga. [...]
Sasa tunaweza kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya, kupitia Facebook (bofya hapa), kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa akaunti ya iliyoanzishwa kwa jina ‘Tume ya Mabadiliko [...]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, kilichofanyika, [...]
Bondia Japhet Kaseba akipima uzito. Francis Cheka nae akipima uzito wake. Mabondia hao wakitunishiana misuli. Cheka akipimwa mapigo yake ya moyo. …Kaseba nae akipimwa. …Wakiwa [...]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Ignus Paul Kitusi kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama (Chief [...]
ELCT/KARAGWE DIOCESE Kwa wadau wote wa Maendeleo Mkoa wa Kagera Yah: MAOMBI YA MCHANGO KUFANIKISHA MALENGO YA SHEREHE YA MIAKA 100 YA HOSPITALI TEULE YA [...]
Rex Energy, a division of Rex Investment Ltd, is the most trusted provider of solar solutions in Tanzania and East African region having been in [...]
Recent Comments