WAHARIRI WAPIGWA MSASA MJINI DODOMA NI KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI 2012.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala akifungua semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala (wa pili kushoto) , Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dr. Albina Chuwa (wa pili kulia) , Mkuu wa Chuo cha Mipango Dodoma Constantine Lifurilo(kushoto) na Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi Moris Uyuke(kulia) wakifuatia zoezi la ufunguaji wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango Dodoma.

Afisa Uhamasishaji wa Sensa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Said Ameir akitoa utambulisho wa wahariri na waandishi wa habari waandamizi leo kabla ya ufunguzi wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango Dodoma.

Wahariri na waandishi waandamizi wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango Dodoma na Naibu Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(hayupo pichani).

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(wa pili kulia) akiagana na Viongozi mbalimbali wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mara baada ya kufungua semina ya siku tatu ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali leo katika Chuo cha Mipango _Dodoma. wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS Dr. Albina Chuwa (wa pili kushoto) , Afisa uhamasishaji wa Sensa wa NBS Said Ameir (kushoto) na Mkuu wa chuo cha Mipango  Dodoma Constantine Lifuliro(kulia).

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(mwenye tai kwa walio kaa) akiwa katika picha ya pamoja na wahariri na waandishi waandamizi mara ya kumalizi kwa zoezi la ufunguzi wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26 mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango Dodoma.

 

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional