BREAKING NEWS: MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO WILLIAM MHANDO ASIMAMISHWA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Bw. William Mhando, amesimamishwa kazi leo kupisha uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Bw. William Mhando, amesimamishwa kazi leo kupisha uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.
Mkurugenzi wa Extra Bongo Ally Choki akiimba mbele ya mamia ya washabiki wake jana usiku ndani ya Ukumbi wa New White House Kimara Korogwe. Msanii [...]
Mtaalam wa promoshen, Mahusiano na Udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi TIGO Bw. Edward Shila akizungumza na Bloggers katika hafla fupi iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika [...]
Baada ya timu za Tusker ya Kenya na Ports ya Djibouti kuwasili jana jioni na kukamilisha idadi ya timu kumi na moja zinazoshiriki mashindano [...]
Peter na Paul Okoye maarufu kama P-Square wamempoteza Mama mzazi Mrs. Josephine Okoye siku ya jumatano masaa matano baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo nchini [...]
Former England captain John Terry was found not guilty of racially abusing fellow player Anton Ferdinand on Friday after a five day case which [...]
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari kusini mwa Afrika MISA – Tanzania Mohammed Tibanyendera, akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho. Mkutano huyo [...]
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bi. Chiku Galawa. Na Mohammed Mhina, Handeni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bi. Chiku Galawa, amepiga marufuku shughuli zote za [...]
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum Suleiman Kova. Na.MO BLOG TEAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum lisitisha maandamano ya Amani ya Chama cha Madaktari nchini (MAT) [...]
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano [...]
Mmoja wa waratibu na jaji,Isakwisa Thomson akikabidhi kitita cha shilingi milioni moja kwa kundi kinara la Questions Crew kati ya saba yaliyojitokeza kushiriki shindano la [...]
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu wa Tasnia ya Mabinufu ya Bidhaa [...]
Recent Comments