PICHA ZA WAITARA WA CHADEMA KUFISKIHWA MAHAKAMANI KUFUATIA MAUAJI YA MWENYEKITI WA UVCCM SINGIDA.

Afisa sera na utafiti CHADEMA makao makuu Mwaitara Mwita Mwikwabe (37)  wa kwanza kushoto akiteta jambo na vijana sita wanaotuhumiwa kumuuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana (CCM) kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi wakiwa kwenye chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu).

Afisa sera na utafiti CHADEMA makao makuu Waitara Mwita Mwikwabe (37) akiwa amepumzika kwenye chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida.

Afisa sera na utafiti wa CHADEMA makao makuu,Waitara Mwita Mwikwabe (37) wa kwanza kushoto akitoka kusomewa shitaka lake la kutoa lugha ya matusi.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

 

 

Add a comment

required

required

optional