KOMBE LA KAGAME KUENDELEA KUUNGURUMA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO.

Kikosi cha timu ya VITA CLUB.

Michuano ya Kombe la Kagame inaendelea kupamba moto ambapo leo katika mechi ya kwanza timu ya  VITA CLUB itaumana na URA katika Uwanja wa Taifa majira ya saa 8 mchana na baadae Wekundu wa msimbazi Simba SC inatarajiwa kushuka dimbani kusafisha jina itakapocheza na PORTS katika uwanja huo huo.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

3 Comments

  • yanga ikomae leo kutafuta heshima kwa kuifunga timu kubwa ya apr. kwani kama ni robo final tumeshaingia

     
  • yanga ni timu kubwa hivyo inatakiwa kushinda leo ili kuonyesha kuwa kweli imesajili vyema. nawatakia ushindi mkubwa

     
  • Tunashukuru sana kwa wachezaji na menejimenti zima ya yanga kwa kutuwezesha leo kutoka vifua mbele kwa kuweza kuwaduwaza wenzetu wa APR hongereni sana wanayanga kwa ushindi huo.Ushindi huo umekuja wakati muafaka kwani taifa tukiwa katika majonzi ya kupoteza ndugu zetu kufuatia ajali ya meli iliyoweza kutokea huko zisiwani zanzibar na pia katika kukaribisha mwenzi mtukufu wa ramadhani.

    Nawatakia kila la heri wanayanga wote katika mwezi huu mtukufu na pia tuendelee kuwapa pole wote waliopatwa msiba wa ajali ya meli.
    YANGA DAIMA,NYUMA MWIKO.

     
 

 

Add a comment

required

required

optional