NAPE ATUA KIGOMA, KUUNGURUMA UWANJA WA COMMUNITY CENTRE MWANGA.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo. Nyuma yake ni Mbunge wa Kigoma mjini, Peter Serukamba.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na ujumbe wake wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani Kigoma. Nyuma kabisamweny mkoba ni Waziri Steven Wasira.

Nape akiwasilimia viongozi wa CCM waliompokea Uwanja wa Ndege wa Kipampa, Kigoma leo.

Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili na Nape kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani humo leo.

Baadhi ya watu waliokuwa na shauku ya kumuona nape wakichungulia kupitia uzio wa Uwanja wa ndege wa Kipampa mjini Kigoma.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo.

Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kutoka uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo.

Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kutoka uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo.

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

Add a comment

required

required

optional