Baadhi ya watoto wakazi wa kijiji cha Ilongero wilaya ya Singida wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, (hayupo kwenye picha) wakati akizindua zoezi la uhamasishaji wa sensa inayotarajiwa kufanyika nchini kote agosti 26 mwaka huu.
Watoto ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja wakazi wa Singida mjini,wakisoma magazeti mbalimbali kwenye kituo cha kuuzia magazeti kilichopo kituo cha zamani cha mabasi Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu).









