DKT. SHEIN AMTEUA JUMA KHAMIS JUMA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA UHAULISHAJI ARDHI VISIWANI ZANZIBAR.

Na  Habari Maelezo Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein (Pichani) amemteuwa Juma Khamis Juma kuwa Mwenyeikiti wa Bodi ya Uhaulishaji Ardhi, Zanzibar.

Kwa mujibu wa Taarifa iliotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi  Zanzibar, Dkt Abdulhamid Yahya Mzee ameeleza  kuwa uteuzi huo ni kwa mujibu wa uwezo aliopewa Rais chini ya Sheria Namba 8 ya mwaka 1994 kama ilivyorekebishwa Sheria namba 10 ya mwaka  2007 ya uhaulishaji wa Ardhi-Zanzibar.

Uteuzi huo unaanza leo tarehe 30Julai,2012

 
 
 

About the author

More posts by

 

 

 

Add a comment

required

required

optional