Mtanzania Zakia Mrisho atashiriki kwenye mbio za raundi ya kwanza za mita 5000 kwa wanawake kwenye Uwanja wa Olimpiki saa sita na dakika hamsini na tano leo. Pia muogeleaji Ammaar Ghadiyali atashiriki kwenye mchezo wa kuogelea (wanaume) mita 100 Freestyle – Heat 1, Aquatics Centre kuanzia saa sita kamili. Tunawatakia kila la heri.








