Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akipata maelezo mafupi kuhusu shughuliza Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) mjini Dodoma kutoka kwa Meneja wa Uhusiano wa CMSA Charles Shirima (katikati) wakati Mbunge huyo alipotembelea maonyesho ya nanenane.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara ya Fedha katikati maonyesho ya nanenane.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Chuo cha Mipango Sara Mmari (kushoto) mjini Dodoma wakatialipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akipata maelezo mafupi kuhusu shughuliza Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara ya Fedha mjiniDodoma alipotembelea maonyesho ya nanenane.(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma).











