HAKI ZA WANYAMA TANZANIA MKO WAPI????

Pichani ni Mbuzi wawili wakiwa wamebebwa kwenye tenga wakisafirishwa ikiwa tunaelekea kwenye maandalizi ya Sikukuu ya Eid El Fitri kama walivyotwa na Camera ya MO BLOG katika barabara ya Old Bagamoyo jijini Dar leo mchana.

 “Nini wewe hebu acha kelele zako”… Ndivyo anavyoonekana kujibiwa mnyama huyu. Mbuzi hawa walionekana kubanwa sana kutokana na usafiri wenyewe ulivyo. Mwishowe Mbuzi huyo aliamua kunyanyua shingo na kupiga kelele kama anavyoonekana pichani walau aonewe huruma lakini hakusikilizwa na safari iliendelea.

 Aliamua kukata tamaa na kulaza shingo yake kwa huruma kama anavyoonekana pichani.

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

1 Comment

  • Ukipanda Bamia utavuna Bamia.Kinachotokea hivi sasa ni matkoeo ya uwekezaji wa huko nyuma.Zipo sababu nyingi sana lakini chache muhimu ni hizi zifuatazo:1.maendeleo yetu ni ‘imposed from above’ni ya kupandikizwa au kushinikizwa kutoka ngazi za juu na kamwe hayatokani na mapendekezo ya watu wenyewe walengwa walioko ngazi za chini.2.serikali kuu imejitwalia madaraka yote katika ukusanyaji wa mapato,katika kupanga viwango na kutoza kodi mbalimbali na katika kupanga matumizi ya fedha hizo.Waliopo vijijini au wa ngazi za chini ni watazamaji au wasindikizaji tu.3.karibu mifumo yote ya utawala na taasisi zake bado iko katika mifumo ileile ya kikoloni,Divide and Rule.Bado tuna Jela, tuna Mahakama,tuna Polisi,tuna watetezi wa sheria ‘advocates au attorneys’ambao wanaweza hata kuinyonga haki ya mnyonge kwa malipo ya pesa.Bado tuna watawala na watawaliwa.Kupiga kura ni kama kilemba cha ukoka kuhalalisha maslahi binafsi ya kikundi maalum cha watu wachache wateule.4.Kama Taifa bado hatujui nini tunachotakiwa kufanya ili kuwa na Taifa litakalo jitegemea lenyewe kwa kiasi kikubwa.5.Wasomi wetu wamedharaulika sana na hawathaminiwi bali siasa ndiyo kila kitu hapa nchini.6.Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa.etc etc etc etc.(z)poor political leadership,viongozi ni walewale toka 1954?unatarajia mabadiliko gani ndugu yangu?

     
 

 

Add a comment

required

required

optional