MIILI YOTE YA ASKARI SABA WA UGANDA WALIOKUFA KATIKA AJALI ZA HELKOPTA NCHINI KENYA YAPATIKANA.

Timu za waokoaji katika Mlima Kenya wamefanikiwa kupata miili minne ya mwisho ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Uganda waliopata ajali na kuungulia ndani ya helkopta.

Jeshi la Ulinzi la Kenya limesema miili hiyo imesafirishwa kuelekea Nairobi kutoka eneo la tukio, na kukamilisha zoezi lililodumu kwa siku tatu la kutafuta na kuoko.

Idadi hiyi inafanya waliokufa katika ajali ya helkopta za Uganda zilizoanguka katika maeneo ya Mlima Kenya nchini Kenya kuwa saba (7).

 
 
 

About the author

More posts by | Visit the site of Admin

 

2 Comments

  • Mungu amewaona walikuwa wanaenda kuwaangamiza Waislaam Somalia. Mungu awalipe kwa matendo yao.

     
  • Meckrow Lema

    Hivi nani kamdanganya Marekani kuwa yeye ataishi milele ? helkopta hizo zilikuwa zinakwenda kuuwa watu wasiyokuwa na hatia kama vile watoto na wanawake,pia kuna walemavu wazee wasiyojiweza kabisa na wagonjwa mahospitlini pomoja na waliyopo majumbani,kwa kisingizio kuwa vita havina macho,.

     
 

 

Add a comment

required

required

optional