Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi amefariki dunia.
Msemaji za serikali ya nchi hiyo amesema Maele aliyekuwa na umri wa miaka 57 amefariki nje ya nchi hiyo baada ya kuugua, hata hivyo hakuweka wazi ni wapi na maradhi gani yalikuwa yakimsumbua.
Wasiwasi kuhusu afya yake ulianza tangu pale aliposhindwa kuhudhuria kilele cha mkutano wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa mwezi uliopita.
Zenawi ameiongoza Ethiopia tangu miaka ya 90 kama rais na Waziri MKuu.
MO BLOG: Mungu ailaze roho ya marehemu Meles Zenawi mahali pema peponi.








