WAZIRI MAZRUI ATIA SAINI MKATABA WA NEMBO YA KARAFUU ZANZIBAR.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya kutiliana saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar.kulia yake ni Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Edington Kisasi na kushoto yake ni Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu(WIPO) Neema Nyerere.

Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu (WIPO) Neema Nyerere.akizungumza katika   ya kutiliana saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na kushoto yake ni Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Biashara(ITC)Jacky Charbo Nneau.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (kushoto)akibadilishana Nyaraka za Utiaji Saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu(WIPO)Neema Nyerere,hapo katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.

 

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (kushoto)akipeana Mikono na Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Biashara(ITC)Jacky Charbo Nneau.Baada ya Utiaji saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu(WIPO)Neema Nyerere,(kushoto yake)na Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Biashara(ITC)Jacky Charbo Nneau.pamoja na wajumbe mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.(PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR).

 
 
 

About the author

More posts by

 

1 Comment

  • Hivyo alisema ni muhimu kwa wakulima wataalam wa kilimo wa zao la karafuu na mazao mengine kupata taaluma ya kutosha katika uzalishaji wa mazao hasa hayo ya viungo. Amesisitiza kwamba wakati umefika wa kufanya mapinduzi ya zao la karafuu na kuachana na njia zisizo sahihi za uwanikaji na utunzaji wa zao hilo.

     
 

 

Add a comment

required

required

optional