PICHA ZA KITOTO KICHANGA KILICHOOKOTWA JALALANI MKOANI SINGIDA.

Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya mwezi moja au mwezi mmoja nusu akiwa amebebwa na mama msamaria mwema baada ya kuokotwa akiwa ametelekezwa kwenye takataka ngumu nyuma ya nyumba ya kulala wageni ya Subira iliyopo mjini Singida.

Mama msamaria mwema akiwa anasindikizwa na askari polisi kumpeleka mtoto mchanga kituo kidogo cha polisi kilichopo kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida.Mtoto huyo wa kiume ameokotwa (16/11/2012) baada ya kutelekezwa kwenye lundo la takataka na mtu ambaye bado hajafahamika hadi sasa. (Picha na Nathaniel Limu).

 
 
 

About the author

More posts by

 

3 Comments

 • Anonymous

  dah!!!!! mpaka leo bado mna2pa watoto tu???? mnawatafuta wa nn jamani

   
 • Anna Madasha

  Hivi jaman huyu mdada kweli kaangaika mpaka kajifungua mtoto then kamtupa si bora angempeleka ustawi wa jamii jaman wadada wadada! yn inatia uchungu sana mtoto umemuweka tumbon miezi tisa then unamtupa wakati kila leo watu tunatafuta watoto!

   
 • gilbert robert

  dada zangu muwe na huruma.dhambi kwa mungu.naomba serikari imjari mtoto

   
 

 

Add a comment

required

required

optional