Harusi Fashion Show ya Mustafa Hassanali yafana katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.

IMG_8986

Muonekano wa Ukumbi kwa ndani kabla ya wageni hawajaingia.

IMG_9152

IMG_9150

IMG_9078

IMG_9084

IMG_9106

Mustafa Hassanali na wageni waalikwa wakishow love mbele ya camera yetu.

IMG_9121

IMG_9161

Mwanamke mgongo bwana Lucky’s Creations akiwakilisha.

IMG_9164

IMG_9174

IMG_9005

Haika Lawere wa Mbezi Garden alikuwepo ku-show case kazi anazofanya wakati wa maonyesho ya Biashara na Harusi (Harusi Trade Fair) yaliyofanyika usiku wa kuamkia Jumapili kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

IMG_9026

Baadhi ya wageni waalikwa wakingalia bidhaa za Gogo Shop kwenye maonyesho hayo.

IMG_9047

Harish Bhatt wa SHYLAND PHOTOGENIC wataalamu wa Picha za Maharusi kama kazi zao zinavyoonekana pichani, wakila pozi mbele ya Camera yetu…Unaweza kuwasiliana nao kwa email shylandphotogenic2013@yahoo.com

IMG_9158

Wadau wa masuala ya Urembo wakipata maelezo na vipeperushi katika mabanda hayo kabla ya show kuanza.

IMG_9199

MC wa Harusi Fashion Show Deogratius Kithama akitambulisha washiriki wa Harusi Trade Fair – Harusi Fashion Show .

IMG_9224

Picha juu na chini ni Models na mavazi kutoka AN NISAA ABAYA.

IMG_9239

IMG_9248

IMG_9256

IMG_9284

Ubunifu wa Manju Msita.

IMG_9298

Manju Msita akijitambulisha jukwaani.

IMG_9303

Juu na Chini Models wakiwa na Magauni ya Harusi kutoka Wedding Kingdom.

IMG_9311

IMG_9317

IMG_9327

IMG_9348

IMG_9354

IMG_9361

IMG_9390

Wadau wa masuala ya Urembo wakifuatilia kwa makini models wanaopita jukwaani.

IMG_9409

Picha juu na chini ni Nguo za Sinta Bridal Lounge duka la Staa wa Bongo Sinta a.k.a J wake LO wa Bongo.

IMG_9411

IMG_9420

IMG_9423

IMG_9429

IMG_9440

Sinta akipita jukwaani kujitambulisha na mmoja wa Models aliyevaa magauni ya dukani kwake.

IMG_9447

Picha ya juu na za chini ni Ubunifu wa Mwanamama nguli katika tasnia ya mavazi Asya Khamsin Idarous.

IMG_9450

IMG_9455

IMG_9461

IMG_9466

IMG_9473

IMG_9470

IMG_9479

IMG_9481

IMG_9483

IMG_9487

IMG_9492

IMG_9495

IMG_9503

IMG_9508

IMG_9515

Mbunifu nguli wa mavazi nchini Asya Khamsin Idarous akipozi na models waliovalia ubunifu wake.

IMG_9591

Applause..

IMG_9630

Brand Manager wa Kinywaji cha Baileys Azda Amani kutoka kampuni ya Serengeti akizungumzia ubora wa kinywaji cha Baileys ambapo alisema mbali na kunywa kama kiburudisho pia unaweza kupikia Cake ambayo ililetwa ukumbini hapo na kuonjeshwa wadau mbalimbali waliohudhuria Harusi Trade Fair iliyoenda sambamba na maonyesha ya nguo za harusi.

IMG_9636

Brand Manager wa Kinywaji cha Baileys Azda Amani akiendesha bahati nasibu.

IMG_9645

MC wa shughuli Deogratius Kithama akitangaza mshindi wa bahati nasibu hiyo.

IMG_9649

Mshindi aliyefahamika kwa jina la Daniella akipokea zawadi kutoka kwa Brand Manager wa Kinywaji cha Baileys Azda Amani.

IMG_9664

Picha juu na chini Models wakipita jukwaani na Suit za duka la Brand House.

IMG_9672

IMG_9675

IMG_9681

IMG_9696

IMG_9703

IMG_9763

Picha juu na chini ni nguo za duka la TWAIBA CLASSIC WEAR.

IMG_9750

IMG_9775

IMG_9772

IMG_9793

IMG_9820

 
 
 

About the author

More posts by

 

 

 

Add a comment

required

required

optional