(NHC) TUJENGEENI NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI SINGIDA.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone (katikati) akipokelewa na mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHC) na mwenyekiti wa baraza la [...]
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone (katikati) akipokelewa na mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHC) na mwenyekiti wa baraza la [...]
Masai Sumail Maika maarufu kwa kuuza dawa za miti shamba mjini hapa,akitoa pongezi wa mbunge wake Mohammed Dewji kwa kufikisha miaka 37 ya kuzaliwa. Askofu [...]
Mmoja wa wachimbaji wadogo wa madini mkoa wa Singida Duda Mughenyi akionyesha cheti chake cha kuhitimu mafunzo ya uchimbaji salama na wenye tija wa madini. [...]
Mkurugenzi mkuu wa NHC na mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi wa shirika hilo Nehemia Kyando Mchechu, akitoa taarifa yake kwa wajumbe wa baraza hilo (hawapo [...]
Wanawake ambao hawakuweza kufahamika majina yao mara moja wala makazi yao,wakisaka wanunuzi wa kuni katika mitaa ya Singida mjini. (Picha na Nathaniel Limu).
Mmoja wa wachimbaji wadogo wa madini waliohudhuria mafunzo juu uchimbaji wenye tija KALAEL IGUMI akionyesha cheti chake alichotunukiwa baada ya kumaliza mafunzo. Baadhi ya wachimbaji [...]
Katibu tawala wa wilaya ya Iramba,Yahaya Naniyo,akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi msaada kwa shule ya awali ya Kipamba na wakazi wa kitongoji hicho ambao ni [...]
Kamishina msaidizi – Uendelezaji wa wachimbaji wadogo wa madini,Wizara ya Nishati na Madini makao makuu, Injinia Fred Mahobe (aliyekaa kulia) akifuatilia majandiliano kwenye mafunzo ya wachimbaji [...]
Mshitakiwa Juliana Ibrahimu akitolewa nje ya chumba cha mahakama kuu baada ya kuzirai kutokana na kuhukumiwa kutumikia jela miaka mitatu baada ya kukiri kosa la [...]
Naomi Nathaniel Limu (anayeandika) wakijifunza na mwenzake kwa kutumia sehemu ya ukuta wa karo la maji lililobomoka.(Picha na Nathaniel Limu).
Afisa elimu wa halmashauri ya wilaya ya Singida Bw.Patrick Mwaluli akitoa taarifa yake kwenye maadhimisho ya siku ya taaluma ya halmashauri hiyo. Baadhi ya walimu [...]
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone akizungumza kwenye kilele cha mahafali ya tano ya chuo cha walimu mjini Singida. Kulia ni Mkuu wa [...]
Wanafunzi wa mwaka wa pili wa shule ya awali ya kitongoji cha Kipamba kata ya Mwangeza wakiwa darasani. Ofisi ya Mwalimu Mkuu wa shule ya [...]
Askari wa usalama barabarani mjini Singida, wakipima ramani sehemu ya ajali iliyohusisha Tipper T.733 BGX ambalo lilikuwa likiendeshwa na Adam Awadhi (amevunjika miguu yote) likitokea [...]
Recent Comments