Wapendwa wasomaji wa Blog hii, nawasalimu kwa upendo.
Nikiwa mdau wa kazi za Utalii Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, nawakaribisha kutembelea mbuga za wanyama, kupanda mlima Kilimanjaro, na kutembelea maeneo ya mwambao wa Pwani (Beach Holidays), Honey Moon, picnic za ufukweni, kusafiri kwa ndege, barabara, n.k. kwa bei nafuu.
Tunawaachia watalii wageni peke yao kufaidi uzuri wa asili wa nchi yetu na nchi zingine za Afrika, sisi wenyewe hatuzifaidi.
Furahia maisha na familia yako, marafiki, ndugu na jamaa kwa gharama zilizo kwenye uwezo wako.
Kwa yeyote atakayekuwa tayari, awasiliane nasi ili tumwandalie kifurushi chake. Kwa mfano, unaweza ukasema, “mimi ninataka kufurahi kwa siku 5, na napendelea kwenda kuona makumbusho na kupata upepo wa pwani. Tutakuwa watu wanne na watoto wawili. Tungependa kulala kwenye hotel za bei nafuu (au za hali ya juu). Iwe kuanzia tarehe…..” Hapo utakuwa umetupa mwangaza wa maeneo ambayo mngependa kutembelea na uwezo mlionao kifedha. Tutakuandalia kifurushi chako, chenye aina mbili au tatu ili uchague kitakachokufaa zaidi. Kisha tunakupa utaratibu kamili. OMBI: Ututumie mpango wako angalau wiki 3 kabla ya safari, ili tuweze kuhakikisha kupatikana na booking za malazi na usafiri mzuri bila matatizo.
Tuandikie kwa email ili tupate haraka kama ifuatavyo:-
Meneja,
KSTT Ltd,
P.O.Box.10941, Dar es Salaam.
Email: kilimanjaroserengeti@yahoo.com
Tel: +255 713 520106
+255 754 264906
+255 787 264906
Moshi: Tel: +255 715 208283
+255 755 208283
KARIBUNI SANA.
at 6:52 am
UTALII WA NDANI.

at 12:01 pm
sawa
at 3:14 pm
gari la maji machafu la manispaa mwezi mzima sasa halina dizeli kisa waulize viomgozi wa manispaa, mji sii utanuka?
at 3:17 pm
sisi wafanyabiashara za malazi tutafanyaje kazi, gari la maji taka linakosaje mafuta wakati linaingiza mamilioni?
at 5:38 pm
make business
at 5:39 pm
let us be in contact